- Imepeperushwa katika Makala
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika uhalifu wa kikatili na wa khiyana, na uchokozi mpya wa kioga, vikosi vya uvamizi viliwaua vijana 3, akiwemo Mujahid Ibrahim Al-Nabulsi, alfajiri ya leo, Jumanne, na wengine 40 walijeruhiwa, watano kati yao walielezewa kuwa mahututi, wakati wa uvamizi wao wa mji wa Nablus.
Mnamo tarehe 4 Agosti 2022, mkutano wa wawakilishi wa nchi zinazoshiriki katika Mpango Kamili wa Pamoja wa Utendakazi (JCPOA) umepangwa kufanyika jijini Vienna.
Hadithi unayoiulizia haisimuliwi katika muundo uliowasilishwa katika swali lako, na tulikuwa tumeiweka wazi hadithi hii katika Jibu la Swali lililochapishwa mnamo 24 Rabii 'ul-Akhir 1439 H sawia na 11/01/2018 M, katika mapokezi kadhaa, ambayo mengine ni pamoja na nyongeza tofauti, na tulihitimisha mwishoni mwa jibu kuwa: (hadithi inayohusu mgawanyiko wa Ummah katika madhehebu 73 bila nyongeza yoyote ni hadithi sahihi…
Abdul Aziz Mohammadi ambaye alikuwa mwanachama mkuu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan katika mkoa wa Ghazni, ameuawa shahidi na watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa Jumanne.
Wimbi la bei ya juu linaikumba Jordan, na kuathiri bidhaa za kimsingi za chakula kama vile kuku, mafuta na nyama nyekundu, pamoja na bidhaa zingine.
Waziri Mkuu, Bishr Al-Khasawneh, alitangaza matokeo ya Kamati ya Kuboresha Sekta ya Umma, baada ya kazi ya miezi 6, ambayo inafanya kazi ya kutathmini hali za idara na taasisi 97 za serikali.
Kiwango cha misiba na maafa yanayowakabili Waislamu kutokana na kukosekana Dola ya Khilafah, ambayo ni yenye kuuhifadhi Uislamu na kuukinga dhidi ya njama za maadui kutoka kwa Waislamu, kimekuwa wazi.
Wakati watu wa kawaida tayari wanapambana na kupanda kwa bei ya bidhaa za kila siku na gharama kubwa ya maisha, serikali ya Hasina, iliyozama katika ufisadi, ilitia chumvi kwenye vidonda vyao kwa kupandisha bei ya mafuta kwa hadi asilimia 51.7 ya kushtua mnamo Ijumaa usiku.