“Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi.”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu alifichua mnamo siku ya Alhamisi kwamba alikuwa na mazungumzo mafupi na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Syria, Faisal Miqdad,



