Demokrasia na Mfumo wake wa Kiulimwengu ni Minyororo ya Utumwa wa Kimarekani Simamisheni Tena Khilafah kwa Ajili ya Mabadiliko Halisi
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 27 Machi 2022, Imran Khan alifichua operesheni ya mabadiliko ya serikali kupitia njama ya Marekani kwenye mkutano wa hadhara, na akatangaza mapambano ya umma dhidi ya udhibiti wa Marekani juu ya Pakistan. Hata hivyo, katika muda wa miezi saba na nusu tu, Imran Khan alimaliza rasmi kampeni hii.