Uislamu utakuwa ndio Mwokozi na Nguvu Kuu ya Ulimwengu Ujao
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hotuba ya Rais wa Sri Lanka Ranil Wickramasinhe katika maadhimisho ya miaka 100 ya ACJU (All Ceylon Jameeyathul Ulama) mnamo Januari 2023.
“Mnaweza kukumbuka mwanzo wa 1922 wakati ulimwengu ulikuwa unapitia mabadiliko makubwa baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia, ambavyo vilijumuisha kuondolewa kwa Khilafah.