Jarida la UQAB Toleo 79 - Agosti 2023
- Imepeperushwa katika Jarida la UQAB
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Agosti 2023 M.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Agosti 2023 M.
Maelfu ya wahafidhina wametia saini matangazo ya kuapa kutoendelea kuripoti kazini ikiwa sheria ya kufanyia marekebisho mahakama itapitishwa. Mnamo Jumatatu 26 Knesset ya Wazayuni (Bunge) ilipitisha sheria yenye utata sana ya kupunguza nguvu za Mahakama Upeo.
Uchomaji moto wa hivi karibuni wa Quran nchini Denmark na Sweden, na miitiko iliyofuata nyumbani na nje ya nchi, inatoa wito wa utambuzi muhimu :Uhuru wa kusema ni chombo cha nguvu ya kisiasa na kifuniko duni cha ukosefu wa maadili ya kweli.
Wavuti wa Showtime ulichapisha rekodi ya raia, ambayo kwayo anawaomba raia wa Jimbo la Khartoum kufuatilia habari za binti zao waliopotea tangu kuanza kwa vita, na inasema kwamba wanamgambo walianza kuuza wasichana waliotekwa nyara kutoka mji mkuu, lakini pindi juhudi zao zilipofeli, walianza kudai fidia ya kuachiliwa kwao huru.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Ya Sudan ukiongozwa na Ustadh Muhammad al-Hassan Ahmad, Mwanachama wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, akiandamana na wanachama wa Hizb Ut Tahrir
Leo, Jumapili, 22/7/2023, huko Lome, mji mkuu wa Togo, kongamano linaoitwa la mashauriano la viongozi wa kisiasa na wawakilishi wa mashirika ya umma kutoka jimbo la Darfur ulizinduliwa. Ilisemekana kwamba lilikuwa ni kwa ajili ya kuweka makubaliano yenye kupelekea msimamo wa umoja kuhusiana na kuzuia athari za vita juu ya mshikamano wa jamii huko Darfur.
Ikiwa na nyoyo zinazougua zinazotafuta tu ujira, Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan inaomboleza pamoja na watu nchini Jordan na Ummah wa Kiisilamu, Mbebaji Dawah, mmoja wa Mashababu wake wema, safi na wacha Mungu, na hatumtakasi mtu yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, kutoka Kizazi cha kwanza cha Hizb Ut Tahrir
Tovuti za habari ziliripoti habari za moto mkubwa ambao uliteketeza nyumba kadhaa za kale na maduka katika soko la Sarouja, magharibi mwa msikiti wa Umayyad jijini Damascus.
Mnamo Juni 10, 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliidhinisha makubaliano kati ya serikali Tanzania na Dubai ambayo yataruhusu kampuni ya kimataifa ya Dubai ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, hususan bandari ya jiji la Dar es Salaam.