Anwani za Mawasiliano za Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wakurugenzi waheshimiwa wa vyombo vya habari andishi, redio na televisheni, waheshimiwa waandishi wa habari
Wakurugenzi waheshimiwa wa vyombo vya habari andishi, redio na televisheni, waheshimiwa waandishi wa habari
Majed Faraj, mkuu wa Huduma Kuu ya Ujasusi katika Mamlaka ya Palestina, aliwasili mnamo 24/7/2023 na kukutana na uongozi wa ngazi ya juu nchini Lebanon. Iliripotiwa kwamba aliomba mkutano na Ziyad Nahaleh, Katibu Mkuu wa harakati ya Jihad ya Kiislamu, ambaye alikataa mkutano huo na kuishia kwa mazungumzo ya simu.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafurahi kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa anwani [Jarida la Al-Waie - Sehemu ya IV - Toleo 341 - 440
Al Waqiyah TV: Risala ya Dharura, "Ndio kwa Suluhu.... Suluhu Ovu"
Tanzania kama nchi nyingine nyingi inakabiliwa na mgogoro wa uhaba wa fedha ya dolari ya kimarekani. Ripoti zinasema akiba ya fedha za kigeni mwishoni mwa mwezi wa Aprili 2023 ni dolari bilioni 4.9, na ndani ya mwezi wa Julai 2023 ni bilioni 5.55. Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hifadhi hiyo inaweza kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa kwa takriban miezi mitano.
Ni dhahiri kwamba nia ya serikali ya Denmark ya kutoa uamuzi wa kupiga marufuku kuchomwa moto kwa Qur'an mbele ya afisi za balozi za kigeni haionyeshi kwa vyovyote vile kwamba serikali hiyo ghafla ina hamu ya kuilinda jamii ya Kiislamu nchini Denmark kutokana na mashambulizi ya chuki ya mara kwa mara yanayoilenga.
Hizb ut Tahrir / Tajikistan inaomboleza kwa masikitiko makubwa kuondokewa na mbebaji ulinganizi mwenye ikhlasi Ismail Dadobov, aliyeaga dunia kwenda kwenye rehema za Mwenyezi Mungu Mtukufu mnamo siku ya Ijumaa, 17 Muharram 1445 H, sawia na 4 Agosti 2023 M, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kuchomwa kwa Quran ni sehemu ya kampeni pana dhidi ya maadili ya Kiislamu na desturi za Kiislamu kwa miongo kadhaa. Kuchomwa kwa Quran kumeendelea kutokea kwa kushajiishwa na kuungwa mkono na wanasiasa kwa muda wa miaka kadhaa, sio jambo lililojitokeza ghafla.
Nchini Misri, matukio ya kuwalazimisha wale wanaosilimu kutoka imani ya Kikubti kuukana Uislamu yanatokea mara kwa mara, mara nyingi hufanywa na kanisa na vyombo vya usalama, kwa ukimya kamili au wa karibu kamili kutoka kwa Mashiakhet Al Azhar (uongozi wa Al Azhar).