Alhamisi, 20 Safar 1447 | 2025/08/14
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Serikali ya Kihalifu jijini Damascus Inaporomoka na Inahitaji Juhudi ya Dhati Kuipindua

Haifichiki tena machoni mwa waangalizi kwamba hali katika maeneo yaliyo chini ya usimamizi wa serikali ya kihalifu jijini Damascus imefikia kiwango kisichoweza kuvumilika. Mambo msingi ya maisha yamepotea, na kutoa njia kwa umaskini, njaa, na kutawala kwa wanamgambo wa mauaji, uporaji, na uhalifu, pamoja na vifaa vya ukandamizaji na mauaji.

Soma zaidi...

Ummah Unakua Kiidadi, na Haja ya Khilafah Kusimamisha Dini ni Kadhia Nyeti

Nimegundua ongezeko la video fupi zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii, za watu wakitamka Shahada na kuwa Waislamu. Hilo lilinivutia. Liliniweka kwenye safari ya utafiti ili kujua ni watu wangapi, haswa katika ulimwengu wa Magharibi, wanaokuwa Waislamu. Ni vigumu kukusanya takwimu halisi, lakini Ramadhan 2023 ilishuhudia kusilimu kwa watu mashuhuri.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Uhalisia wa Hizb ut Tahrir Baada ya Kusimamishwa Khilafah

Assalam Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh

Inaelezwa katika Utangulizi wa Rasimu ya Katiba, Kifungu cha 21: Waislamu wana haki ya kuanzisha vyama vya kisiasa ili kuwahisabu watawala, au kufikia madaraka kupitia Ummah.

Swali ni: Ikiwa chama kilicho chukua utawala kilikuwa na mpango wake wa kisiasa, itautabikisha kama ilivyo kwa vyama katika nchi za sasa?

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu