Jumatano, 19 Safar 1447 | 2025/08/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mkutano wa Khiyana pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kiyahudi

Habari zilizuka kuhusu mkutano uliochukua takriban saa mbili kati ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya Najla El Mangoush na Waziri wa Mambo ya Nje wa umbile la Kiyahudi jijini Roma. Suala hilo lilipofichuka, Waziri Mkuu Abdul Hamid Dbeibah alitoa amri ya kumsimamisha kazi Najla El Mangoush katika Wizara ya Mambo ya Nje.

Soma zaidi...

Uongozi wa Kijeshi na wa Kiraia Hebu na Uonywe. Kutambua Uwepo wa Umbile la Kiyahudi ni Khiyana kwa Mwenyezi Mungu (swt), Mtume Wake (Saw) na Waislamu. Watawala kama hao ni Wahalifu na Wanastahili Adhabu Kali Hapa Ulimwenguni na Kesho Akhera!

Mnamo tarehe 22 Septemba 2023, Waziri wa Mambo ya nje wa umbile la Kiyahudi, Eli Cohen alisema katika taarifa kwamba "nchi sita au saba" za Waslamu pia ziko tayari kusaini mikataba ya amani na umbile la Kiyahudi, kufuatia kujumuishwa kwa Saudi Arabia katika "makubaliano ya Abraham."

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir Inatoa wito kwa Raia wenye Ufahamu na Watu wenye Ushawishi: Jiungeni na Kongamano la Mtandaoni lenye Kichwa "Njia ya Kutokea - Kutoka kwa Mshiko wa Dhalimu Hasina na Mkoloni Marekani" na Jitokezeni Kutekeleza Miongozo

Siasa na uchumi wa nchi zinapitia shida ambayo tayari imegeuka kuwa mgogoro mkubwa. Mateso ya watu yamepitiliza. Kwa sababu ya kuongezeka kwa bei ya bidhaa watu wa kawaida wanajitahidi kununua hata chakula msingi kama mayai na mkate.

Soma zaidi...

Waislamu, Mapambano Yenu ya Kiitikadi ndio Chimbuko la Nguvu Yenu!

Msururu wa uchomaji Mshafu Mtukufu (Quran) unaendelea nchini Uswidi, huku polisi wakimpa Salwan Momika idhini nyingine ya kuichoma Quran katika Jiji la Malmo mnamo Jumapili, Septemba 3, 2023. Kituo cha Uswidi (SVT) kiliripoti kwamba watu wawili walijaribu kuvuruga tukio lake kwa nguvu, lakini polisi wakafanikiwa kuwadhibiti.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu