Utawala wa Haki, Ustawi wa Kiuchumi, na Ukombozi wa Al-Quds kutokana na Kunajisiwa na Mayahudi ndio Sababu za Kushinda Uchaguzi
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka ya Kitaifa ya Uchaguzi, inayoongozwa na Mshauri Hazem Badawi, ilitangaza uchaguzi wa Rais Abdel Fattah el-Sisi kama Rais wa Jamhuri kwa muhula mpya wa urais, kufuatia kutangazwa rasmi kwa matokeo ya uchaguzi wa rais jana, Jumatatu.