Enyi Watu, Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh, Inawaalika Kuhudhuria Kongamano Lijalo la Mtandaoni kwa Anwani: “Je, Kweli Tuko Huru?”
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kama mnavyojua, katika bara hili, baada ya miaka mia mbili ya mapambano dhidi ya unyonyaji na ukandamizaji wa ukoloni wa Uingereza, Pakistan na India ziliibuka kama Dola huru mnamo tarehe 14 na 15 Agosti 1947 mtawalia. Baadaye mwaka wa 1971 Bangladesh iliibuka kama Dola huru.