Jumatano, 04 Rabi' al-awwal 1447 | 2025/08/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kampeni ya Uzushi ya Mashirika ya Haki za Wanawake ya kuunganisha kwa uongo Ubaguzi na Unyanyasaji wa Wanawake na Sheria ya Mirathi ya Kiislamu ni Kuondoa Mabaki Yoyote Yaliyosalia ya Hukmu za Uislamu katika Jamii.

Mnamo Machi 10, 2022, Bangladesh Nari Pragati Sangha (BNPS), shirika la ndani la haki za wanawake, limedai marekebisho ya sheria zilizopo za familia na kutunga sheria mpya nchini Bangladesh ili kuhakikisha haki sawa kwa wanawake katika urithi na mali ya familia.

Soma zaidi...

Sheria Mpya ya Vyama ya Jordan Haizalishi Vyama vya Kisiasa kwa ajili ya Umma... Bali, Vyama kwa ajili ya Serikali

Mnamo Jumatatu, 21/3/2022, Baraza la Wawakilishi liliidhinisha rasimu ya sheria ya vyama vya kisiasa kama ilivyorekebishwa na Seneti, baada ya kuidhinishwa hapo awali na Baraza la Wawakilishi mnamo tarehe 8/3/2022, baada ya kuidhinisha vifungu vyake 43, katika vikao vinavyoendelea kwa muda wa siku tatu.

Soma zaidi...

Khilafah Pekee Ndiyo Itatuondoa kutoka kwa Mfumo wa Kikoloni wa Kiulimwenguni Inaohakikisha kuwa Hifadhi ya Pakistan yenye Thamani ya Reko Diq Inakabidhiwa Wakoloni wa Magharibi.

Upanga wa mfumo wa kimataifa umewekwa kwenye shingo ya Pakistan ili kuinyima umiliki wake kamili wa hifadhi kubwa ya dhahabu na shaba huko Reko Diq, ukikabidhi haki nyingi za umiliki kwa Kampuni ya kisasa ya India Mashariki.

Soma zaidi...

Mahakama Kuu ya Kisekula ya Karnataka Inasubutuje kutoa "Fatwa" kuhusiana na kile ambacho Mwenyezi Mungu (swt) Amewafaradhisha Waislamu! Enyi Waislamu! Ni nani Mwengine Isipokuwa Khilafah Atalinda Haki na Heshima za Dada zetu?

Kwa kushikilia marufuku ya hijab kwa wasichana wa shule na walimu wa Kiislamu katika taasisi za elimu chini ya serikali ya Jimbo hili inayoendeshwa na chama chenye misimamo mikali cha Hindutva Bharatiya Janata (BJP),

Soma zaidi...

Je, Kunyanyua Kauli Mbiu ya "Kujitosheleza" Kunawiana na Kuomba Usaidizi wa Kimataifa, Ee Serikali ya Wokovu Kaskazini mwa Yemeni?

Serikali ya Wokovu jijini Sanaa ilizindua ombi kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje, Hisham Sharaf, kwa mawaziri wa mambo ya nje wa Sweden na Switzerland, katika nafasi zao kama wenyeviti wa Kongamano la Wafadhili kuhusu Hali ya Kibinadamu nchini Yemen kwa mwaka wa 2022.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu