Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Ndugu Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir nchini Australia inaomboleza kuondokewa na mmoja wa wanaume ambaye alikuwa akipendwa sana na Waislamu kwa jumla na hasa wabebaji da’wah (Mwenyezi Mungu amrehemu):
Ndugu Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)



