Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan, tunafuraha kutoa mwaliko kwa ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wanafikra na maoni, kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma wa kila mwezi