Anwani za Mawasiliano za Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wakurugenzi waheshimiwa wa vyombo vya habari andishi, redio na televisheni, waheshimiwa waandishi wa habari
Wakurugenzi waheshimiwa wa vyombo vya habari andishi, redio na televisheni, waheshimiwa waandishi wa habari
Nchini Misri, matukio ya kuwalazimisha wale wanaosilimu kutoka imani ya Kikubti kuukana Uislamu yanatokea mara kwa mara, mara nyingi hufanywa na kanisa na vyombo vya usalama, kwa ukimya kamili au wa karibu kamili kutoka kwa Mashiakhet Al Azhar (uongozi wa Al Azhar).
Siku hizi, sauti zinamtaka Sisi ang’atuke na aondoke kwa salama kutoka kwa mandhari. Wakosoaji wa sera na maamuzi yake wameibuka kutoka kwa wale waliolelewa katika kukumbatia serikali hiyo na walikuwa miongoni mwa nguzo zake enzi ya Mubarak.
Baada ya kugawanya India mnamo 14 na 15 Agosti 1947, mamilioni ya Waislamu waliobaki nchini India sasa wanateseka sana chini ya kasumba ya dhehebu ya "Hindutva", ili Modi aweze kushinda uchaguzi.
Chini ya mwezi mmoja baada ya Tunisia kutia saini mkataba wa maelewano juu ya Ushirikiano wa Kimkakati na Mpana na Muungano wa Ulaya, ilitangazwa kwa haraka kuwa ilipata zaidi ya euro milioni 300 kutoka kwa Tume ya Ulaya kusaidia ufadhili wa mradi wa uunganishi wa umeme kati ya Tunisia na Italia, haswa kati ya Menzel Tamim na Sicily.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Kenya, ukiongozwa na Ustadh Mahd Ali, mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Kenya, akiandamana na Ustadh Shaaban Mwalimu, mwakilishi kwa vyombo vya habari wa Hizb ut Tahrir Kenya, na Ustadh Shaaban Rajab, mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahir Kenya, walikutana na Sheikh Abdul Halim Hussain, Kadhi Mkuu wa Kenya anayeishi jijini Nairobi.
Serikali ya Kifederali la Labor jana iliongeza mazungumzo yake mtupu juu ya Palestina kwa kuthibitisha Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza kama 'maeneo yaliyokaliwa kimabavu', na makaazi yoyote kwenye ardhi hizi kama 'yasiyo uhalali wa kisheria' na hufanya kuwa 'ukiukaji wa sheria za kimataifa'.
Mwanachama wa zamani wa Afisi ya Utendaji ya Chama cha Madaktari wa Sudan, Mtaalamu katika tiba ya ndani, majanga, na maradhi ya kuambukiza, Dkt. Adibah Ibrahim al-Sayyid, alifichua usajili wa kesi 316 za ubakaji, pamoja na kesi zinazohusisha watoto, kulingana na vyanzo vya matibabu jijini Khartoum Na Darfur.
Mnamo 1 Agosti, 2023, Mkutano wa Madini wa Pakistan 2023 uliandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Petroli na shirika la Barrack Gold Corporation. Katika hotuba yake, Waziri wa Kawi, Idara ya Petroli, Dkt. Musadik Malik aliwaalika wawekezaji wa kigeni kuwekeza katika sekta mbali mbali za Pakistan, haswa madini na uchimbaji madini.