Wale Wanaolitambua Waziwazi Umbile la Kiyahudi, Mithili ya Imarati, Uturuki na Misri, na Wale Wanaoweka Masharti ili Kulitambua Mithili ya Pakistan, Saudi Arabia na Mamlaka ya Palestina, Wote Wamekusanyika katika Kuifanyia Khiyana Ardhi Iliyo Barikiw
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mahojiano ya runinga, yaliyopeperushwa mnamo 18 Agosti 2020, Imran Khan alikataa kulitambua umbile la kihalifu la Kiyahudi, lakini kwa uangalifu akaweka kukataa kwake sharti la kukombolewa Palestina.