Jumatano, 27 Jumada al-thani 1447 | 2025/12/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kundi la Tahrir Al-Sham Limemteka Nyara Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria Nasser Sheikh Abdul Hai

Mnamo Alhamisi, tarehe 1/9/2022, Vikosi vya Usalama vya Hay'at Tahrir Al-Sham vilimteka nyara mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Syria, Ustadh Nasser Sheikh Abdul Hai, mbele ya nyumba yake katika mjini wa Atarib; hii ilikuwa ni baada ya kauli zake dhidi ya wito wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, anayeutaka upinzani, kufanya maridhiano na dhalimu wa Al-Sham, na msimamo wa serikali ya Uturuki kuhusu utawala wa Bashar Al-Assad.

Soma zaidi...

Amerika, Urusi, China na Wafuasi Wao Wanacheza na Moto Na Hakuna Yeyote kati yao Aliyeko kwa ajili ya Manufaa ya Dunia

Imekuwa dhahiri kuwa Utawala wa Biden, una nia mbaya kama watangulizi wake. Katika kipindi cha miezi michache tu, umethibitisha kwamba katika madhumuni ya kudumisha ubabe wake juu ya uchumi wa dunia hauna tatizo lolote katika kuleta hali yoyote ya kisiasa duniani kwenye njia panda.

Soma zaidi...

Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Umefungwa ndani ya Mapambano Duni ya Kung’ang’ania Utawala, Huku Maeneo Makubwa ya Nchi Yakikumbwa na Mafuriko

Maeneo makubwa ya Pakistan yanakumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa za masika. Kulingana na NDMA, tangu Juni 12, watu 903 wamekufa, watu 1293 wamejeruhiwa, karibu nyumba 300,000 zimeharibiwa kwa kiasi na nyumba 200,000 zimeharibiwa kabisa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu