Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 350
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kwa anwani "Wanawake wa Kaskazini Wawaitikia Wanawake wa Daraa; ni Nani Basi kwa Ajili ya Wanawake Hawa Wote Atakayeijibu Fazaa!"
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika mji wa Idlib kwa anwani "Inusuruni Daraa!"
Kitengo cha wanawake katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Inusuruni Jabal Al-Zawiya na Daraa na Mfungue Vita na Muiangushe Serikali!"
Maandamano yaliyo andaliwa na watu waliohamishwa makaazi ya Houran Mjini Kafar Takharim viungani mwa Idlib baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani "Nusra kwa Watu wa Daraa ni Mboni ya Jicho!"
Mnamo 07/10/2001 M, Amerika, kinara wa ukafiri, na mshirika wake Uingereza walianzisha vita vya kinyama dhidi ya Waislamu, waliishambulia kwa mabomu miji ya Afghanistan ya: Kabul, Kandahar, Jalalabad na mengineyo na makombora ya Tomahawk, na kurusha makombora na aina anuwai za silaha.
Kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Daraa Kutoka kuwa ni Kaa la Moto Chini ya Majivu Hadi kuwa ni Moto Wenye Kuwaunguza Matapeli!"