Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 278
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 278
Vichwa Vikuu vya Toleo 278
Msimamo wa watu wa Al-Muharrar katika Kura ya Maoni kuhusu Mkataba wa Amani baina ya Erdogan na Putin Kusitisha Vita baada ya utawala wa Syria kuchukua barabara kuu ya M5 za [barabara kuu ya Damascus-Aleppo].
Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na waheshimiwa wa Al-Muharrar katika barabara kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, yaliyopewa jina, "Hatutakubali mbadala isipokua kuanguka kwa Utawala"
Hizb ut Tahrir /Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Babka, Idlib, kwa kichwa, “Enyi Wanachama wa Kundi, Msiwe wasaidizi wa Ukandamizaji!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano ndani ya kijiji cha Deir Hassan ndani ya Idlib vijijini, kwa kichwa
Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mahojiano mbali mbali na wazee kutoka kwa Mashabab wa Hizb ut Tahrir kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo walisisitiza kwamba wao wako imara juu ya ukweli, haijalishi uzito wa majanga, na kwamba wako njiani, haijalishi urefu wa barabara, lengo lao liko wazi na njia wanayotumia imekamilika…

Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.
Hizb ut Tahrir Wilayah Syria iliandaa maandamano katika Kambi ya Atmaa kwa kichwa, “Muumini hang’atwi marambili katika shimo moja” Aliyeiuza Aleppo kattu hataiuza Idlib!
Vichwa Vikuu vya Toleo 277