Srebrenica Miaka 25 Baadaye... Lini Tutakoma Kusema 'Kamwe Haitatokea Tena' kwa Mauwaji ya Halaiki Dhidi ya Ummah Wetu?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Julai 2020 inakamilisha miaka 25 ya kumbukumbu ya mauwaji ya halaiki ya Srebrenica, ambapo majeshi ya Serbia yaliingia katika eneo la Srebrenica, lililotengwa kama 'eneo salama' na Umoja wa Mataifa wakati wa vita vya Bosnia,