Afrika Yalazwa Njaa Kikatili na Wakoloni wa Kibepari chini ya Uangalizi wa Viongozi wake Wafisidifu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti ya maeneo yanayokabiliwa na majanga ya mashirika mawili ya kimataifa (Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) imetoa onyo la mapema kuhusu ukosefu mkubwa wa chakula na kutoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kibinadamu ili kuokoa maisha na kuzuia njaa katika nchi zenye uhaba mkubwa wa chakula ambapo unatarajiwa kuwa mbaya zaidi kuanzia Oktoba 2022 hadi Januari 2023.



