Sio Mielekeo ya ‘Heterodox’, bali ni Mfumo wa Kiuchumi wa Uislamu ndio Utakaoiokoa Uturuki
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nureddin Nebati, Waziri wa Hazina na Fedha, ambaye alitoa hotuba ya ufunguzi katika “Mkutano wa Mabadiliko ya Kiuchumi na Mihimili Mipya” ulioandaliwa na Wizara ya Hazina na Fedha, aliwasilisha taarifa kuhusu uchumi.



