Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khalifah ni Ngao ya Ummah wa Kiislamu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Khalifah huwatawala Waislamu kwa yale yote yaliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt).
Tuko katika umasikini licha rasilimali zetu nyingi.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Merinos jijini Bursa lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni;
Kuanguka kwa Khilafah Kwahitaji Kazi ya Kurudi Kwake.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya kikao mnamo Jumanne, Januari 11, 2022, chenye anwani: "Mapinduzi kutoka Tunisia... Changamoto na Matarajio" katika makao yake makuu huko Ariana.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Kocatape jijini Ankara lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!"
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa mkutano na waandishi wa habari kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni; Ustadh Hakki Eran,
Uingereza inashuhudia kupanda kwa kasi kwa gharama ya bidhaa za kila siku, na kusababisha ugumu mkubwa zaidi kwa maskini na wanaoishi katika mazingira magumu.
Amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ziliendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu kuhusu hukmu za Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na mifumo tofauti tofauti ya maisha.