Athari za Kisiasa nchini Afghanistan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Assalam Alaikum Ewe Amiri wetu, vipi hali yako? Wakati dola ya Kiislamu itakaposimamishwa, Hizb ut Tahrir itaenda kwenye marhala (hatua) gani?
"Kamati ya utetezi wa wafungwa katika kesi ya kile kinachojulikana kama "uchochezi" nchini Jordan ilielezea kutoridhika kwake na kile ilichoelezea kama hatua ya mamlaka "kuwanyimwa" haki za kimsingi ... na kuwataka waruhusiwe kukutana nao wajue uchunguzi unaofanywa nao."
Assalamu Alaikum Sheikh wetu mheshimiwa: kuna tofauti gani kati ya rai iliyotangulia na maalumati yaliyotangulia katika njia ya kufikiri.
Sheikh wetu mkubwa, nina swali juu ya rai za kifiqhi za maimamu wanne na mujtahidi wengine ambao wanatofautiana na sisi kuhusu rai za kifiqhi zilizo tabanniwa katika Hizb, na ambazo zinaingia katika ile inayoitwa fiqhi ya ikhtilaf
Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir Mwanachuoni Mkubwa Atta Bin Khalil Abu Rashta kwa Mnasaba wa Kumbukizi ya Miaka Mia Moja ya Kuangushwa Dola ya Khilafah Mwaka 1342 H /1924 M
Hadithi unayoiulizia haisimuliwi katika muundo uliowasilishwa katika swali lako, na tulikuwa tumeiweka wazi hadithi hii katika Jibu la Swali lililochapishwa mnamo 24 Rabii 'ul-Akhir 1439 H sawia na 11/01/2018 M, katika mapokezi kadhaa, ambayo mengine ni pamoja na nyongeza tofauti, na tulihitimisha mwishoni mwa jibu kuwa: (hadithi inayohusu mgawanyiko wa Ummah katika madhehebu 73 bila nyongeza yoyote ni hadithi sahihi…
Mwenyezi Mungu akubariki ewe Amiri wetu, na awape ushindi, na awatilie nguvu kwa ufunguzi wa wazi na Khilafah kwa njia ya Utume nyoyo za waumini ziweze kupoa.
Baadhi ya Mashababu na watu nchini Tunisia waliswali swala ya Ijumaa mbele ya misikiti baada ya kufungwa na mamlaka. Baadhi ya maimamu waliwakana na wakazichukulia swala zao kuwa batili, ikizingatiwa kuwa swala za Ijumaa huswaliwa ndani ya msikiti pekee.