Jumanne, 10 Rabi' al-awwal 1447 | 2025/09/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jibu la Swali: Je, Yajuzu Mtu Kumpa Zaka Dadake au Binti Yake?

Uislamu umewajibisha kushibisha mahitaji haya ya kimsingi na kuwapa wale wasioweza kuyapata. Ikiwa mtu binafsi anajipatia wenyewe, ni vizuri; ikiwa hawawezi kujiruzuku kwa sababu ya ukosefu wa pesa za kutosha au kutokuwa na uwezo wa kupata pesa za kutosha, Shariah inawajibisha wengine kuwasaidia hadi mahitaji haya ya kimsingi yatimizwe.

Soma zaidi...

Masuluhisho Yaliyopendekezwa kwa Gaza ya baada ya Vita

Huku vita vya mauaji ya halaiki vya umbile la Kiyahudi, kwa uungaji mkono muovu wa Marekani ya Magharibi, vikiendelea dhidi ya watu wa Gaza kwa zaidi ya miezi mitano, na wahanga wake kufikia zaidi ya mashahidi na majeruhi 100,000, pamoja na kuangamizwa kwa sehemu kubwa ya majengo yake, kuna mazungumzo mengi kuhusu miradi ya massuluhisho ya kile kitakachokuja baada ya vita vya Gaza na jinsi mambo yatakavyokuwa kisiasa kulingana na mipango ya dola za kikoloni zikiongozwa na Marekani.

Soma zaidi...

Uchaguzi wa Pakistan

Shirika la habari la Reuters liliripoti mnamo tarehe 19 Februari 2024, "Vyama viwili vikuu vya Pakistan vinatazamiwa kukutana mnamo Jumatatu ili kujaribu kutatua tofauti za kuunda serikali ya mseto ya wachache baada ya uchaguzi ambao haukukamilika, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa chama alisema, akisisitiza kukosekana kwa utulivu wa kisiasa na kiuchumi ...

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Hadith «إِنَّ الإِسْلامَ يَجُبُّ مَا كَانَ قَـبْلَهُ» “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

(Ama kushughulika na kesi zinazodhuru Uislamu na Waislamu, hii ni kwa sababu Mtume aliamuru kuuawa kwa watu wachache waliosababisha madhara kwa Uislamu na Waislamu katika zama za Jahiliyyah baada ya ufunguzi wa Makka, na hivyo waliuawa hata kama walijifunga kwenye mapazia ya Al-Kaaba, kwa kujua kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema, "إن الإسلام يجب ما قبله" “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Uhalisia wa Hizb ut Tahrir Baada ya Kusimamishwa Khilafah

Assalam Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh

Inaelezwa katika Utangulizi wa Rasimu ya Katiba, Kifungu cha 21: Waislamu wana haki ya kuanzisha vyama vya kisiasa ili kuwahisabu watawala, au kufikia madaraka kupitia Ummah.

Swali ni: Ikiwa chama kilicho chukua utawala kilikuwa na mpango wake wa kisiasa, itautabikisha kama ilivyo kwa vyama katika nchi za sasa?

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu