Athari za Virusi vya Korona
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
China ilitangaza kwa mara ya kwanza mnamo 4/12020, hususan jijini Wuhan, kuwa watu kadhaa waliambukizwa na maradhi ya virusi vya Korona, yaliopewa lakabu ya COVID-19, kisha yakaenea takriban katika nchi zote za ulimwengu, na nchi nyingi zikalazimisha kufungwa kwa mipaka na marufuku ya kutoka nje usiku, na kisha zikasitisha swala za Ijumaa na jamaa.