Maisha haya ya dunia si chochote bali ni mafupi, kwa hiyo Tumcheni Mwenyezi Mungu (swt) kikamilifu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uendaji mbio, uchangamfu, uchukuliaji mambo kwa udharura na upangaji mipango na ufuatiliaji katika kufanya da’wah tuliouona katika maisha ya Mtume (saw) ilikuwa sio eti ana “dhibiti wa wakati”.