Kitambulisho Tata katika Da'wah Maarufu: Kuficha Njia ya Mwamko wa Kiislamu “Alikojoa kwenye kisima cha Zam-zam ili awe Maarufu” (Methali ya Kiarabu)
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uwazi wa mitandao ya kijamii umetoa fursa pana kwa kila mtu kuwa maarufu. Hata leo kauli mbiu ni "umaarufu ni pesa". Kutafuta wenye kujisajili au wafuasi wengi iwezekanavyo hatimaye imekuwa ndoto ya watu wengi wa milenia.