Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 2 Rabi' II 1447 | Na: HTS 1447 / 38 |
M. Jumatano, 24 Septemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan inafuraha kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wale wote wanaopenda masuala ya umma, kuhudhuria na kushiriki katika kikao kipya cha Kisiasa, ambapo Ustadh Ya‘qub Ibrahim, mwanachama wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, atakuwa mgeni, chini ya kichwa:
Ulaya na Ushawishi Wake kwa Matukio nchini Sudan
Kikao hicho kitasimamiwa na Ustadh Wakili Muhammad ‘Abd al-Fattaḥ.
Wakati: Jumamosi, 05 Rabi’ al-Akhir 1447 H sawia na 27/09/2025 M, saa moja alasiri, insha’Allah.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iliyoko Port Sudan – Ḥayy al-‘Aẓmah.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |