Uhasama kati ya India na China: Fursa ya Pakistan kuikomboa Kashmir
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hivi karibuni, Uchina imepeleka maelfu ya vikosi vya kijeshi katika Mstari Halisi wa Udhibiti (LAC) ikizidisha mvutano na majirani zao India. Kukabiliana na hatua hizi, India ikapeleka vikosi vingi ili kusaidia vilivyoko.



