Jumapili, 16 Safar 1447 | 2025/08/10
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wataalamu wa Haki Waonya dhidi ya Kutenganishwa kwa Nguvu kwa Watoto wa Uyghur nchini China

Mnamo tarehe 26 Septemba 2023, wataalamu watatu huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waliripoti kwamba kuna utenganishwaji wa lazima na sera za lugha kwa Uyghur na watoto wengine wa Kiislamu walio wachache katika shule za bweni zinazomilikiwa na serikali katika mkoa wa Xinjiang nchini China, ambapo ni sawa na kuoanishwa kwa lazima ndani ya thaqafa ya Kichina.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Hadith «إِنَّ الإِسْلامَ يَجُبُّ مَا كَانَ قَـبْلَهُ» “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

(Ama kushughulika na kesi zinazodhuru Uislamu na Waislamu, hii ni kwa sababu Mtume aliamuru kuuawa kwa watu wachache waliosababisha madhara kwa Uislamu na Waislamu katika zama za Jahiliyyah baada ya ufunguzi wa Makka, na hivyo waliuawa hata kama walijifunga kwenye mapazia ya Al-Kaaba, kwa kujua kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema, "إن الإسلام يجب ما قبله" “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

Soma zaidi...

Mkutano wa Khiyana pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kiyahudi

Habari zilizuka kuhusu mkutano uliochukua takriban saa mbili kati ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya Najla El Mangoush na Waziri wa Mambo ya Nje wa umbile la Kiyahudi jijini Roma. Suala hilo lilipofichuka, Waziri Mkuu Abdul Hamid Dbeibah alitoa amri ya kumsimamisha kazi Najla El Mangoush katika Wizara ya Mambo ya Nje.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu