Naveed Butt, Mbebaji Ulinganizi wa Khilafah, Nembo ya Upinzani dhidi ya Raj wa Kiamerika (Ukoloni), Amekuwa Kizuizini katika Korokoro za Siri za Ukandamizaji za Vyombo vya Usalama Tangu Miaka Minane Iliyopita!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 11 Mei, itakuwa ni miaka minane tangu Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan kutekwa nyara na kuzuiliwa katika kifungo kisicho halali katika Uislamu, ndani ya korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.