Da’wah ya Khilafah ni Wajibu wa Kiislamu kwa Waislamu wote, na Wale Wanaowatesa Wabebaji Dawah hii ni Wahalifu!
- Imepeperushwa katika Afghanistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maafisa wa kijasusi wa mkoa wa Herat wamewaweka kizuizini wabebaji Dawah watatu wa Hizb ut Tahrir kwa 'kosa la kulingania Khilafah na umoja wa Ummah' katika mwezi unaoendelea (Mei) wa mwaka huu.