Al-Waqiyah TV Tathmini ya Vichwa Vikuu vya Habari!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV Tathmini ya Vichwa Vikuu vya Habari!
Al-Waqiyah TV Tathmini ya Vichwa Vikuu vya Habari!
Licha ya kuwa ndilo taifa linalo ongoza Amerika imeshindwa kusimamia mambo ya mamilioni ya raia wake. Video hii fupi inaelezea kwa nini.
Muongo baada ya muongo hali inarudi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mamlaka yaliyoko yameshindwa kuunganisha mujtamaa.
Tahania kwa Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa kuwasili kwa Idd ul-Fitr Iliyo Barikiwa 1441 H
Mnamo tarehe 11 Mei 2020 M, ilisadifu kuwa ni kumbukumbu ya nane ya kutekwa nyara Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ukamataji wake ulitimia katika korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.
Al-Waqiyah TV: Silsila za Ramadhan "Juu ya Uhalisia"
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ya ukumbusho wa 99 Hijria wa Kuanguka kwa Khilafah mnamo 28 mwezi mtukufu wa Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M.
Jumatatu, 28 Rajab 1441 H - 23 Machi 2020 M
Kikao cha kipekee kwenye Runinga ya Al-Waqiyah
Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mahojiano mbali mbali na wazee kutoka kwa Mashabab wa Hizb ut Tahrir kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo walisisitiza kwamba wao wako imara juu ya ukweli, haijalishi uzito wa majanga, na kwamba wako njiani, haijalishi urefu wa barabara, lengo lao liko wazi na njia wanayotumia imekamilika…