Al-Waqiyah TV: Rambirambi za Hizb ut Tahrir kwa Mashahidi wa Matetemeko ya Ardhi Yaliyoikumba Uturuki na Syria!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah