Ulanguzi wa Binadamu: Sekta ya Uhalifu ya Kirasilimali Iliyo Nawiri Ambayo Khilafah Itaing’oa
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mmoja kati ya waathiriwa sita wanao languliwa kwa ajili ya kufanyishwa kazi kwa lazima, dhulma ya kimapenzi na sababu nyinginezo kama vile omba omba nchini Kenya ni mtoto, shirika la uchunguzi la ‘Nation Newsplex’ limefichua.