Uongozi wa Kijeshi Sio Ngawira
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Waziri Mkuu Shehbaz Sharif alimteua Jenerali Asim Munir kama mkuu wa jeshi mpya wa Pakistan, chaguo ambalo linaweza kuimarisha upinzani wa Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kwa serikali na kuzua mapigano yake makubwa na jeshi. Khan, ambaye kama waziri mkuu alimuondoa Munir kutoka wadhifa wa mkuu wa upelelezi, atauona uteuzi huo kama kikwazo kinachowezekana kwa jaribio lake la kulazimisha uchaguzi wa mapema...



