Marekani Yaimiminia Fadhila Iran ili Kuharakisha Ufufuaji wa JCPOA
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Iraq imepewa msamaha wa vikwazo na Marekani, na kuiruhusu kutoa dolari bilioni 2.76 za fedha za Iran kutokana na malipo ya mauzo ya nje ya gesi, kulingana na Yahya Al-e Eshaq, Mwenyekiti wa Muungano wa Chama cha Biashara cha Iran-Iraq.



