‘Matumizi ya Ubaguzi wa Rangi kama Chambo cha Kisiasa’ Ni Ala Nyengine Tena ya Kuchukiza ya Siasa Chafu za Kisekula
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika wiki za hivi karibuni, vyombo vya habari vya Uingereza vimeangazia matumizi ya ‘ubaguzi wa rangi kama chambo chakisiasa’ na mawaziri mbalimbali katika serikali ya Uingereza ili kupata uungwaji mkono kutoka kwa wapiga kura wa mrengo wa kulia na chuki dhidi ya wapiga kura wenye asili ya kigeni.