Kulaani kwa Maneno na Majibu Dhaifu ya Kijeshi Kutoka kwa Dola ya Pakistan Kunaihamasisha Serikali ya Kihindu Kuwachokoza Waislamu Waliovamiwa Kashmir na Katika Mstari wa Udhibiti
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Jazeera imeripoti kwamba wanajeshi watatu wa India waliuawa kwa silaha zilizorushwa kutoka upande wa Kashmir, wakati Pakistan imetangaza kufariki kwa wanajeshi wake wawili na mwengine kujeruhiwa na makombora kutoka India, katika mstari wa udhibiti unaotenganisha pande mbili hizo.