Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Tunahitaji Jeshi la Waislamu Kuinusuru Gaza, sio “Mbwa Mwitu walio Pweke”!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Video ya afisa mmoja kijana wa jeshi wa Pakistan akitaka kwenda Gaza imesambaa, na wakati huo huo, video nyingine ya afisa sawia wa Misri imesambaa. Enyi maafisa wa majeshi ya Waislamu! Ikiwa hamuwezi kuleta tama la maji au tembe ya tende mjini Gaza, mutawezaje kumleta afisa aliyebeba bunduki?!