Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kinazindua Kampeni ya Kimataifa: "Khilafah: Yenye Kuhakikisha Hadhi, Usalama na Haki za Kisheria za Wanawake"
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram mwaka huu 1443 H - 2022 M, na kwa mnasaba wa kumbukumbu chungu ya wahalifu kuiondoa dola ya Kiislamu na kukomesha nidhamu ya utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Hizb ut Tahrir inaandaa amali pana za umma katika nchi zote inamofanyia kazi
Leo tarehe 25/10/2021 wananchi wa Sudan wameamkia kuibuka kwa vuguvugu kutoka kwa jeshi lililowakamata baadhi ya mawaziri pamoja na idadi kadhaa ya washiriki katika serikali ya mpito ya kiraia na kisha kukamatwa kwa Waziri Mkuu Hamdok mwenyewe...
Kwa kuzingatia masaibu wanayopitia Waislamu katika biladi tofauti tofauti ya ukandamizaji, umasikini, mauaji, kuhama makaazi, mauaji ya halaiki, na uchafuzi wa heshima kwa Rohingya, Uyghur, Kashmir na India, na hali duni ya maisha ya mamilioni ya wakimbizi katika kambi na kunyimwa kwao wengi mahitaji ya kimsingi nchini Syria, Yemen na Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kwengineko katika upande mmoja