Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Waislamu!... Hakika Mayahudi sio Watu wa Vita!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Enyi Waislamu!... Hakika Mayahudi sio Watu wa Vita!
Enyi Waislamu!... Hakika Mayahudi sio Watu wa Vita!
Kilichowapa ujasiri Mayahudi Kusubutu kufanya walichofanya ni kwamba hawakupata nchi jirani zenye kukabiliana nao!
Enyi askari katika Nchi za Waislamu... Je, Hakuna Miongoni mwenu Mtu Muongofu?
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo siku ya Jumamosi tarehe 23 Rabi’ al-Akhir 1446 H sawia na 10/26/2024 M katika afisi yake mjini Port Sudan, wenye kichwa: “Mkataba wa Entebbe, Bwawa la Al-Nahdha, na watawala kupuuza maslahi muhimu ya Umma”.
Zana Chafu za Marekani katika Vita vyake dhidi ya Umma wa Kiislamu ni Watawala Vibaraka wa Waislamu na Mayahudi!
Kufuatia kuendelea kwa mauaji ya watu wa Gaza yanayofanywa na umbile katili la Kiyahudi ambayo sasa yamepita mwaka mmoja, Hizb ut Tahrir/Kenya kupitia Afisi yake ya Habari ilifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo siku ya Ijumaa, 18 Oktoba 2024.
Inasikitisha kwamba Malaysia inaendelea kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na China (na pia Urusi), licha ya ukatili uliothibitishwa na ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo ya kikomunisti dhidi ya Waislamu wa Uighur kwa miongo kadhaa. Mbali na uhusiano wa kidiplomasia, Malaysia pia imeanzisha uhusiano mkubwa wa kibiashara na China, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa nchi hiyo.
Je, hakuna miongoni mwenu Abdul-Hamid, mlinzi wa Palestina kutokana na Mayahudi… ambaye alimrudisha mwakilishi wao akiwa amekata tamaa na kushindwa, bila kupata chochote, na akamfundisha somo la hekima, akisema: “Siwezi kupeana hata shubiri moja ya ardhi ya Palestina?, kwani sio mali yangu, bali ni mali ya Ummah wa Kiislamu. Watu wangu waliipigania ardhi hii na kuinywesha kwa damu yao… Mayahudi nawabakie na mamilioni yao, kwani ikiwa Dola ya Khilafah itasambaratika siku moja, basi hapo wanaweza kuichukua Palestina bila thamani yoyote, lakini maadamu niko hai, hilo halitafanyika…”?
Bangladesh Yawakamata Waislamu 4 kwa Kubeba Bendera ya Mtume ﷺ!
Kalima iliyotolewa na Ustadh Mahrous Hazbar, Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria wakati wa kisimamo cha usiku kilichoandaliwa na Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria katika mji wa Azaz kikitaka kuregeshwa kwa maamuzi ya kijeshi na kufunguliwa kwa mipaka.