Ujumbe kwenda kwa Ubalozi wa Pakistan Kuunga Mkono Kina dada Waliotekwa Nyara
- Imepeperushwa katika Ubelgiji
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan.