Viwango vya Kampeni ya Haftar Kusini mwa Libya
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa nini Haftar, kibaraka wa Amerika nchini Libya, anapeleka majeshi yake katika eneo kubwa mno la Libya kusini na wala hatulizii makini juhudi zake dhidi ya eneo tiifu kwa Uingereza la Libya magharibi na kuichukua Libya yote kwa manufaa yake?