Kurudi kwa Swala Ndani ya Hagia Sophia na Kelele za Sauti Zinazoitisha Kurudi kwa Khilafah!
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tunajua kwamba Muhammad Al-Fatih – Mwenyezi Mungu awe radhi naye – pindi alipoifungua Konstantinopoli aliifanya Hagia Sophia kuwa msikiti… Tunajua pia kwamba Mustafa Kamal – laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake – aliiondoa sifa hii ya msikiti ya Hagia Sophia na kuifanya kuwa makavazi...