Palestina baina ya Njia ya Sharia ya Mabadiliko na Masuluhisho ya Kivipande
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sifa njema zote njema ni za Mwenyezi Mungu aliye mteremshia mja wake Kitabu na wala hakukipinda, na swala na salamu zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyefikisha amana na akathibitisha hoja, na akatuacha baada yake juu ya dalili nyeupe.