Raia wa Kiulimwengu – Ajenda ya Kimagharibi
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Athari za ukoloni na ukoloni mamboleo kwenye mfumo wa elimu katika nchi za Waislamu zimekuwa wazi kwa Umma wa Kiislamu.
Athari za ukoloni na ukoloni mamboleo kwenye mfumo wa elimu katika nchi za Waislamu zimekuwa wazi kwa Umma wa Kiislamu.
Kufanya makubaliano ya amani na umbile la Kiyahudi imekuwa ni jambo linalojadiliwa kwa muda mrefu na Ummah tokea kuanzishwa kwake.
Utafiti wa karibuni umeonyesha kuwa kuna muanguko wa dini kiulimwengu. Ikiangaliwa katika jamii za Kimagharibi, na kukua kwa uliberali wa kisekula, hili halishangazi.
Msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje (MOFA) wa Urusi, Maria Zakharova, alitoa maoni kwa majibu ya Muungano wa Ulaya (EU) juu ya hukumu ya kile kinachoitwa ‘Kesi ya pili ya Bakhchisaray ya Hizb ut-Tahrir’.
Katika zama zetu, kujitolea kwa maswala ya kifamilia, uzazi, masomo, taaluma, au biashara huja kabla ya kujitolea kwa majukumu yetu ya Kiislamu kwa jamii ya Kiislamu (jamaa’ah) na Dini.
Tumekuwa tukishuhudia janga kubwa la maambukizi tangu mwanzoni mwa mwaka huu ambalo liliwafanya wengi kuchanganyikiwa, au angalau kuwa na wasiwasi, katika kuelewa baadhi ya fahamu za Kiislamu zilizo wazi bila ya kuwa na ikhtilafu.
Machafuko ya 2020 ya Maisha ya Weusi ni ya Kuzingatiwa (Black Lives Matter) hivi sasa yamefikia kwenye mwezi wake wa nne, yakiweka kivuli kirefu juu ya uchaguzi wa urais wa Amerika. Machafuko ya umma yaliripuka kutokana na kifo cha George Floyd mnamo tarehe 25 Mei 2020 na yamechochewa kwa miongo ya miaka ya ubaguzi wa kitaasisi.
Mnamo tarehe 4 Septemba 2020 gazeti la The Guardian limeripoti juu ya ushuhuda wa mwalimu Muislamu wa Kiuighur aliyelazimishwa kufanyiwa hatua nyingi za kudhibiti kizazi baada ya kupata vitisho vya mara kwa mara kwa maisha yake na ya familia yake.
Mnamo tarehe 27 Agosti, shirika la habari la ‘Buzzfeed News’ lilichapisha taarifa zilizotokana na uchunguzi ulioegemea maelfu ya picha za satelaiti katika eneo la ‘Xinjiang’ inayofichua “miundo mbinu mikubwa na inayoendelea ya uwekaji kizuizini na kushikiliwa kwa muda mrefu” kwa jamii za Uyghur, Kazakh na Waislamu wengine inayotekelezwa na utawala wa kidhalimu wa China.
Kuangazia Muundo wa Uimla Eneo la Asia ya Kati kutokana na Kesi ya Kukamatwa Wanawake wa Kyrgyz