Mjomba Wetu (Mamo), Naveed Butt
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kila mmoja anamwita Mamo (Mjomba) na ndio maana kamwe haikuwa vizuri kumwita Naveed Butt.
Kila mmoja anamwita Mamo (Mjomba) na ndio maana kamwe haikuwa vizuri kumwita Naveed Butt.
Waamerika wamefungiwa katika majumba yao kwa kuogopea kirusi kipya ambacho kimeuwa zaidi ya Waamerika 100,000 mwaka huu, lakini kifo cha mwanamume mmoja pekee mnamo Mei 25 kimewatoa barabarani kufanya maandamano,
Akihutubia bunge la Ulaya Jumatano 27 Mei 2020, Rais wa Tume ya Ulaya Ursula Von der Leyen alipendekeza kwamba Muungano wa Ulaya uchukuwe deni la €750 Bilioni ilikupeana €500 Bilioni kama ruzuku na €250 Bilioni
Kila fahamu isiyokuwa ya Uislamu haipaswi kuchukuliwa kwani zote ni fahamu za kijinga, japokuwa zinaonekana kuwa za kustaarabika na ziliotukuka, kama usekula, ambao huitwa fikra angavu miongoni mwa wanafikra wa Kimagharibi.
Katika kipindi cha kuanguka kwa Waislamu, fikra ya Dini miongoni mwa Waislamu ilichukua ufahamu wa Wamagharibi, ambao ni ukasisi.
Si ajabu kwa kafiri kuishi katika dunia hii, akiwa amesahau kuhusu maisha ya Akhera, bila kukhofu nini kitatokea kwake.
Baada ya mataifa ya kikafiri kuungana dhidi ya Dola ya Khilafah na kuiondosha mwaka 1924 Miladi, na kugawanya ardhi za Waislamu katika vijinchi vidogo vidogo, Ummah umeathiriwa na tawala ambazo bila ya kuwa na mamlaka kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt)...
Suala la Mpango wa Ulimwengu limeungana kwa karibu na linavyojiangalia taifa au jamii. Namna gani jamii inavyojiangalia yenyewe? Ni nini ujumbe wa jamii hiyo?
Kuna baadhi ya Waislamu wanahoji kuwa kuurejesha tena mfumo wa Mwenyezi Mungu (swt), Khilafah kupitia njia ya Utume kuwa ni jambo lisilowezekana, kama wanavyodai kuwa mataifa yenye nguvu ya dunia kama Marekani, dola za Ulaya, Urusi, China na mengineyo yataungana kuivunja itakaporegea.
Mwanaadamu ni kiumbe, cha kibinafsi na pia ni kiumbe cha kijamii, kiasi cha kuwa balaa la kibinafsi na la kijamii humuathiri