Ni Wakati Sasa kwa Majeshi ya Waislamu Kuonyesha Misimamo Yao
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kashfa dhidi ya matukufu ya Uislamu imekuwa ni jambo la kuendelea kwa Makafiri kuonyesha ghadhabu na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.