Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 21 Muharram 1447 | Na: HTS 1447 / 04 |
M. Jumatano, 16 Julai 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi Habari
(Imetafsiriwa)
Kwa ndugu na dada zetu waheshimiwa katika vyombo vya habari, ikiwa ni pamoja na magazeti, redio, na runinga, sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tuna furaha kukualikeni kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari wenye kichwa:
Hakuna Serikali inayoweza Kutoa Matumaini Isipokuwa chini ya Uislamu na Dola yake ya Khilafah
Atakayezungumza katika mkutano huo ni Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Wilayan ya Sudan, Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil).
Wakati: Jumamosi, 24 Muharram 1447 H, sawia na 19 Julai 2025 M, saa 1:00 Adhuhuri, Mwenyezi Mungu akipenda.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan, Wilaya ya Al-Azma, Mashariki mwa Uga.
Uwepo na ushiriki wenu ni heshima kwetu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |